Non-discrimination Policy – Swahili (Kiswahili)

KUMBUKA: Ikiwa unazungumza Kiswahili, unaweza kupata, huduma za lugha, bila malipo.  Piga simu [Number for Language Assistance Service] (TTY: [Number for TTY Service]).

 

Discrimination is Against the Law

[Your Organization] ametimiza mahitaji ya sheria za serikali kuu na hana ubaguzi wa kikabila, rangi, asili, umri, ilemavu ama jinsia. [Your Organization] habagui watu au kuwatumikia kwa njia tofauti kwa misingi ya kabila, rangi, asili, umri, ulemavu, ama jinsia.

[Your Organization]:

  • Anatoa huduma za bure kwa walemavu kuwawezesha kuwasiliana nasi vizuri, kama vile:
    • Wafasiri wa lugha
    • Taarifa zilizoandikwa katika mitindo mbalimbali (maandishi makubwa, sauti, mitindo ya kielektroniki, mitindo mingineyo)
  • Anatoa huduma za bure za lugha kwa watu ambao lugha yao ya asili si Kiingereza, kama vile:
    • Wafasiri lugha waliohitimu
    • Taarifa zilizowasilishwa kwa lugha nyingine

Ikiwa unahitaji huduma za aina hii, wasiliana na [Compliance Officer's Title and Name]

Ikiwa unaamini kwamba [Your Organization] amekosa kutoa huduma hizi ama amebagua kwa njia nyingine katika misingi ya kabila, rangi, asili, umri, ulemavu, ama jinsia, unaweza kutuma malalamishi kwa: [Compliance Officer's Title and Name], [Your Address], [Telephone number ], TTY: [Number for TTY Service], [Compliance Fax Number], [Compliance Officer's Email]. Unaweza kuweka malalamishi binafsi au kupitia barua, faksi, ama barua pepe. Iwapo unahitaji usaidizi kuweka malalamishi, [Compliance Officer's Title and Name] anaweza kukusaidia.

Pia, unaweza kuweka malalamishi ya haki za kibinadamu katika U.S. Department of Health and Human Services (Idara ya Huduma za Afya na Jamii ya U.S.), Office for Civil Rights, (Ofisi ya Haki za Umma), kwa njia ya kielektroniki kupitia kwa Office for Civil Rights Complaint Portal, ipatikanayo katika https://ocrportal.hhs.gov/ocr/portal/lobby.jsf, ama kupitia barua ama simu katika:

U.S. Department of Health and Human Services

200 Independence Avenue, SW

Room 509F, HHH Building

Washington, D.C. 20201

1-800-868-1019, 800-537-7697 (TDD)

Fomu za malalamishi zinapatikana katika: http://www.hhs.gov/ocr/office/file/index.html.